Hello, I am john8200
See my profile


July 2008

SMTWTFS
1 2 3 4 5
6 7 8 9 10 11 12
13 14 15 16 17 18 19
20 21 22 23 24 25 26
27 28 29 30 31

Archive

Tag

Syndicate content

Add to My Dada

Add to My Dada

Share your contents

De.licio.us

MWOKOZI UMEOKOA

1. Mwokozi umeokoa

Nimekuwa  wako  wewe  

Damu  imenisafisha;

Sifa kwa mwana kondoo.

 

        Utukufu, Aleluya!

        Sifa kwa mwana

                Kondoo!

Damu imenisafisha,

        Utukufu kwa yesu!

 

2. Nilijitahidi sana

Ila sikupata raha;

Bali kwa kumtugemea

Nilipata  Baraka.           

 

3. Diama  Namwegemea,

 Damu  ikifanya kazi,

 Nikioga kwa  chemchemi

  Itokayo  Mwokozi.   

 

 4. Sasa  nimewekwa wakfu;

    Nitaishi  kwako  wewe;

    Fahari     nashuhudia                                                                                                                                                                      

   Ya  wokovu wa bure.

 

5. Nasimama kwake  Yesu,

 Ameponya  roho yangu;

Ameniondoa dhambi,

Anifanye  mzima.

 

6. Nalikua kifungoni,

Niliteswa na dhambi,

Nilifungwa minyororo,

Yesu akanifungua.

 

7. Sifa, ameninunua!

Sifa, nguvu za wokovu!

Sifa, Bwana huhifadhi!

Sifa zake milele. 

By James Ndirangu Karanja

Rate this post

Latest posts

My favorite links